Machapisho yote ya watumiaji Mhagama David L . Dar es Salaam , Tanzania

https://avalanches.com/tz/dar_es_salaam_ndugu_zangu_watanzania1345354_19_02_2021

Ndugu zangu watanzania.

Nafahamu wengi wetu tumeanza kuwa na hofu za hapa na pale juu ya ugonjwa hatari wa covid-19. Ni kweli ugonjwa huu hatari upo kama serikali ilivyotueleza kupitia wizara ya afya, maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto. Lakini pia serikali yetu chini ya wizara yake hio imetoa miongozo ya jinsi ya kujinginga na ugonjwa huu hatari ikiwemo kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa mara kwa maji yatirikayo, kuepuka misongamano isiyo ya lazima na mengine mengi.


Binafsi naona njia pekee ya kujikinga ni kufuata maelekezo hayo ili kuuepuka ugonjwa huu hatari. Nimesikiliza pia maoni ya watanzania wengi na kila mtu akiwa na maoni tofauti juu ya kukabiliana nao na wengine wakienda mbali kupendekeza nchi kuwa na lock down. Tukae na tufikiri kidogo, wengi wetu katika nchi hii ni watu wa kipato cha chini ambao hutegemea kipato chetu kwa kila siku kwa kudunduliza. Tunaposema nchi iwekwe lockdown, vipi maisha ya mama ntilie ambaye huamka asubuhi kwenda kariakoo ili aweze kupata kipato cha kila siku, vipi kuhusu wale watembeza karanga na sigara buguruni, mwenge, tazara na maeneo mengine ya jiji? Vipi kuhusu wale wauza mboga mboga na matunda masokoni?

Na sio hao tu, ni wapi sisi wananchi wote, ni wapi tutapata mahitaji yetu ya kila siku.


Ni nchi nyingi za mabara ya ulaya na amerika ambayo wamejaribu hayo lakini yamewashinda, wenzetu waliopiga hatua kubwa katika nyanja mbalimbali leo hii wameshindwa, lichaya kuwa na mifumo ikiwemo ya kuagiza chakula na mahitaji mengine kwa njia za kimitandao. Je ndugu zangu wa maeneo mbali mbali ya nchi tutaweza vipi kupata mahitaji yetu kama wote tupo ndani?


Je wote tukubali kuwa shughuli zote za maendeleo zisimame. Nawaomba watanzania wenzangu tuzingatie miongozo iliyowekwa na serikali katika kujikinga, pia tusisahau kujifukiza na kumuomba Mungu.

Show more
0
96

Africa and the rest of the world (part 1)

For so many years it is believed that Africa is the most poor continent out of the seven that we have in the world, despite of being so rich in natural recourses. Over the years all the way from slavery era, colonial rule even now after so many African countries have gained the so called independence, Many African countries have yet been able to decide on their matters on their own. Even our own elections we still have diplomats from europe and america who claims they come to oversee simply because they think we can not make wise decisions of our own.


Its a shame many Africans never realised sooner that untill now they still simply being colonised in a very indirect way since many decisions are still being made by the europeans and the westerners. Many African countries can't simply decide on their matters concerning, politics, economysocial and right now evern our customs and beliefs are being challenged.


The westerners have forced many African countries to agree on homosexuality simply by saying every person have a right to choose who to marry regardless of the sex which is simply against our customs and beliefs.


Proffesor PLO Lumumba once said in his speeches that When he looks at Africa today, Many Questions comes to mind, Many times he would ask himself what would happen if Mwalimu Nyarere, Kwame Nkurumah and the rest of African freedom fighters were to come to life. Because they will be ashamed of the Africa and its recources that they fought for so hard to rescue it fromthe colonial rule is simply still under the inluence of europeans and americans.

To be continued...........

Show more
0
82